Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
-
- #81
Pole sana... Nadhani njia bora ni kuwashtaki kwa boss wao watajirekebisha.Kuna mods baadhi wanatuibukia pm na maneno ya shombo halafu anakutafutia ban na anakuzawadia kweli hiyo ban ukitoka jela unakuwa konkodi na mvuto wa jf unapungua sana itawaharibia sana hii wasipojirekebisha
Pole sana mkuu... Ndio maana hata siku hizi unachelewa kuchukua nafasi yako.Nilijisikia poa tu, nilileta story za nje ya mjadala ila haikuniathiri sana kwa sababu niliperuzi as a guest user
ilikuwa mwaka jana mwezi may!
Hiyo hasira haikuwaya nchi hiiMoja kwa moja Nilifuta App ya JF.
Mzee wa NegativityBado hujawa na akili ww..empty set kabisa
HII YA KUPIGWA BAN HAIHUSIANI NA NAFASIPole sana mkuu... Ndio maana hata siku hizi unachelewa kuchukua nafasi yako.
Asilimia kubwa ya watu niliokutana nao ana kwa ana ni watu wazima sasa umri sawa na mzee wangu sasa naanzaje kuwa na uadui na mtu kama mzazi wangu??Labda hauna uadui na mtu... Uwe unapita tu.
Eti eeh!HII YA KUPIGWA BAN HAIHUSIANI NA NAFASI
Nyuma ya keyboard watu hujitoa ufaham hata awe mtu mzima. Kama kuhusu heshima basi tusingeona wazee kutembea na mabinti 18+ sawa na vitukuu wao.Asilimia kubwa ya watu niliokutana nao ana kwa ana ni watu wazima sasa umri sawa na mzee wangu sasa naanzaje kuwa na uadui na mtu kama mzazi wangu??
HahahahaNimejiunga 2017 lakini nimekula ban mara 15.
Me masuala ya mtu ya kimapenzi siwezi kuyahukumu nachojua ni heshima kati yangu na mhusika basi!Nyuma ya keyboard watu hujitoa ufaham hata awe mtu mzima. Kama kuhusu heshima basi tusingeona wazee kutembea na mabinti 18+ sawa na vitukuu wao.
FOR SUREEti eeh!
Sina tafsiri hiyo ya kuhukumMe masuala ya mtu ya kimapenzi siwezi kuyahukumu nachojua ni heshima kati yangu na mhusika basi!
Pole sanaMitusi ili niponza! Never again!
Maana nilikasirika sana sana!
Basi kama sio ivo mkuu ila jua humu tupo sawa na watu wa rika za wazazi wetu!!Sina tafsiri hiyo ya kuhukum
Hahaha ungelelewa mkuu... Ila huo umri sawa na wangu kbsBasi kama sio ivo mkuu ila jua humu tupo sawa na watu wa rika za wazazi wetu!!
Kuna mmama nilizoea mtania akajasema mtoto wake wa mwisho ana miaka 22 asee nilijisikia vibaya hakuna tangu hapo nikaona ngoja niache utani na fake ID!!
We tukana mtu tu utajua kama umepigwa ban au lahHata sijui kama nishawahi kupigwa ban,je ukitaka kujua ulipigwa ban unaangaliaje?
Pole sana kwa kutoka kifungoni.... Nadhan kuna kuanzisha thread ili waelewe wapi wanakosea katika adhabu zao.niliwashangaa nikawaona ni weird... kwenye forums hutakiwi kuban watu... hata fb hawakupi ban.. sijui ni ushamba hata sielewi now jf inakuwa boring than used to