Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Kuna mods baadhi wanatuibukia pm na maneno ya shombo halafu anakutafutia ban na anakuzawadia kweli hiyo ban ukitoka jela unakuwa konkodi na mvuto wa jf unapungua sana itawaharibia sana hii wasipojirekebisha
Pole sana... Nadhani njia bora ni kuwashtaki kwa boss wao watajirekebisha.
 
Asilimia kubwa ya watu niliokutana nao ana kwa ana ni watu wazima sasa umri sawa na mzee wangu sasa naanzaje kuwa na uadui na mtu kama mzazi wangu??
Nyuma ya keyboard watu hujitoa ufaham hata awe mtu mzima. Kama kuhusu heshima basi tusingeona wazee kutembea na mabinti 18+ sawa na vitukuu wao.
 
Mitusi ili niponza! Never again!
Maana nilikasirika sana sana!
 
Basi kama sio ivo mkuu ila jua humu tupo sawa na watu wa rika za wazazi wetu!!
Kuna mmama nilizoea mtania akajasema mtoto wake wa mwisho ana miaka 22 asee nilijisikia vibaya hakuna tangu hapo nikaona ngoja niache utani na fake ID!!
Hahaha ungelelewa mkuu... Ila huo umri sawa na wangu kbs
 
Natamani nionje ladha ya Ban, wadau nipeni mbinu mujarabu nami nipate kuonja hii ladha taamu ya Ban??
 
niliwashangaa nikawaona ni weird... kwenye forums hutakiwi kuban watu... hata fb hawakupi ban.. sijui ni ushamba hata sielewi now jf inakuwa boring than used to
Pole sana kwa kutoka kifungoni.... Nadhan kuna kuanzisha thread ili waelewe wapi wanakosea katika adhabu zao.
 
Back
Top Bottom