Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

mimi sijawahi kula ban nahisi natafuta cheo cha kuwa Mods soon
Nasubiri nitimize miaka 5 ya uadilifu nianze kuomba kazi
Naamini maombi yangu yatajibiwa positively

Copy to Heads of Mods
 
mimi sijawahi kula ban nahisi natafuta cheo cha kuwa Mods soon
Nasubiri nitimize miaka 5 ya uadilifu nianze kuomba kazi
Naamini maombi yangu yatajibiwa positively

Copy to Heads of Mods
Kwa hiyo una maana unataka uache zamu lindoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kwa hiyo una maana unataka uache zamu lindoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hapana, lindoni nitakuwepo kama kawaida
mshahara wa kule si unajua unalipaaaaaa
We naweeee, acha hizo bhana
 
Sikuwa na bando kwaiyo ban iliishia juu kwa juu niliporudi hewani iko poa tuu,
 
Siku nikipigwa ban naweza kuumwa. Utakua mwanzo wa kuwa na ID nyingine nitashindwa kuvumilia. Nitapotezaje muda wa kwenye foleni nikila ban
 
Mm nnasoma tu ila namngoja MBITIYAZA akimaliza Ban aje atuambie
 
nakuaminia
out for a while ila nitarudi
Sawa.
Ila nilichokigundua humu JF sijui ni majukumu mengi au ....

Mods hawashiriki kabisa mijadala tofauti na Mods kwenye forum zingine.

Forums zingine tena kubwa kuliko JF Mods wanapiga kazi na kujadili na watu wengine kama kawaida sio kama Mods wetu hapa wao ni kutoa ufafanuzi kidogo tu then mengine waayafanya kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…