Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #101
Anza hapa kwa kunituka... Kesho hautaona kituNatamani nionje ladha ya Ban, wadau nipeni mbinu mujarabu nami nipate kuonja hii ladha taamu ya Ban??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza hapa kwa kunituka... Kesho hautaona kituNatamani nionje ladha ya Ban, wadau nipeni mbinu mujarabu nami nipate kuonja hii ladha taamu ya Ban??
Wanakosea sana na hivi skuhizi wameanzisha forums zingine watu wanahamaje hukuPole sana kwa kutoka kifungoni.... Nadhan kuna kuanzisha thread ili waelewe wapi wanakosea katika adhabu zao.
DuuhhNimejiunga 2017 lakini nimekula ban mara 15.
mimi sijawahi kula ban nahisi natafuta cheo cha kuwa Mods soonNimekula Ban 3 mwaka jana,
Ya kwanza niliipata kwenye uzi wa Le mutuz, baada ya kumquote comment yake nikamtania Mods wakalala mbele na kichwa changu.
Ya pili kwenye jukwaa la Siasa kipindi cha vuguvugu la Lisu alipopigwa risasi, niliipata kwenye uzi wa Chabruma baada ya kutaja jina fulani.
Ya tatu kwenye jukwaa la MMU, nilikuwa najibizana na kapeace, soga zilinoga tukatoka nje ya mada, Mods wakalala mbele na vichwa vyetu mimi na Kapeace.
Ban 2 za mwanzo zilikuwa za siku 5 zote.
Ban ya 3 ilikuwa ya siku 3.
Mwaka huu bado sijapata Ban na najitahidi nisiipate labda iwe kwa bahati mbaya.
Kwa hiyo una maana unataka uache zamu lindoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mimi sijawahi kula ban nahisi natafuta cheo cha kuwa Mods soon
Nasubiri nitimize miaka 5 ya uadilifu nianze kuomba kazi
Naamini maombi yangu yatajibiwa positively
Copy to Heads of Mods
hapana, lindoni nitakuwepo kama kawaidaKwa hiyo una maana unataka uache zamu lindoni...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahahahaaaaaahapana, lindoni nitakuwepo kama kawaida
mshahara wa kule si unajua unalipaaaaaa
We naweeee, acha hizo bhana
haya au nimetaniaHahahahahaaaaaa
Haya bana
Kama kweli una nia nivalie njuga hilo swala. Lazima utafanikiwa tuhaya au nimetania
mshahara wa kule si una marupurupu? unajua tena ile mida no usumbufu
hahahahaha nia ninayo na nguvu za kuendeleza hiyo nia pia ninayoKama kweli una nia nivalie njuga hilo swala. Lazima utafanikiwa tu
Anza sapoti yetu ipo nyuma yakohahahahaha nia ninayo na nguvu za kuendeleza hiyo nia pia ninayo
nakuaminiaAnza sapoti yetu ipo nyuma yako
Sawa.nakuaminia
out for a while ila nitarudi
Kumbe muoga unatafuta ban ya nnYuck Fuu!!
Haha... Usiwafanyie hivyo..Wanakosea sana na hivi skuhizi wameanzisha forums zingine watu wanahamaje huku
Doh poleNimesha kula ban na kufungiwa id nne..
TuTunhamia halotel wangu huku manyanyaso wakati vocha na bando hawaniwekeiHaha... Usiwafanyie hivyo..