Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #41
Dah kuna watu mnaroho ngumu sana.[emoji23][emoji23][emoji23] Wakuongeze miezi mwingine nalipia Mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kuna watu mnaroho ngumu sana.[emoji23][emoji23][emoji23] Wakuongeze miezi mwingine nalipia Mimi
[emoji23][emoji23] hapana Mkuu As JokingDah kuna watu mnaroho ngumu sana.
Oooh! Ndo jamaa kafunguka hivyo tayar lakini[emoji23][emoji23] hapana Mkuu As Joking
Nenda kalaleSijaelewa kabisa
Pole sanaJuzi walinipiga ya siku moja kisa kuna mdau alizingua..
Hujawahi kupata Ban?pole sana ..Mungu aniepushe na ban ..maana nikiacha kuingia jf huwa najihisi arosto mixer uchizi
Safi mkuuNimejiunga 2017 lakini nimekula ban mara 15.
Jiandae na nyingine mkuuNimemaliza Ban ya 3 juzi juzi tu,tangu nijiunge mwaka 2017 mods wakuda wamenipiga ban 3
Hahaha Sigra kali umerudi? Sasa balimi ndogo anatumia nani?Nimemaliza Ban ya 3 juzi juzi tu,tangu nijiunge mwaka 2017 mods wakuda wamenipiga ban 3
Kisa niniNimekula ban
Mara tatu from 2014
mkuu sijawahi ..naniomba mods waniepushe ..yaani siipendi kwakweliHujawahi kupata Ban?
We umepigwa ngapi?Safi mkuu
Mwenendo wako wa kutii sheria za humu ndio silaha yakomkuu sijawahi ..naniomba mods waniepushe ..yaani siipendi kwakweli
..maana huwa najihisi ugonjwa napokosa kuingia humu
Mungu anisimamie niendelee kukidhi hvyo vigezoMwenendo wako wa kutii sheria za humu ndio silaha yako
36 mkuuWe umepigwa ngapi?
Sijui hata hyo ban inakuwaje. Shortly sijawah kupigwa banWe umepigwa ngapi?