Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Wakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii ๐๐๐. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko๐๐. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.
Vipi wewe, siku ya kwanza kupika ilikuaje? Ulichojaribu kupika kilitokea freshi au ulienda kumwaga kimya kimya?