Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kama mimi tu mkuu. Ila mimi nachojitahidi ni kuchagua sufuria dogo ama kubwa kulingana na ukubwa wa ugali naoutaka.Mpaka umri huu sijawahi kumaster jinsi ya kusonga ugali , naweza kuupika ila kipimo huwa kinanipa shida sana ! Naweza kupika mkubwa sana kupitiliza au nikapika ugali mdogo sana hata mtoto hashibi ! Ila ile kukadiria kipimo exactly sijawahi !! Angalau naweza kuuivisha 😂😂😂
Kwahiyo hilo nalisolve kiivo ila kama ingekua sufuria size moja apo ningekua nachemka daily.