Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
sasa hivi napika vizuri sana yani adi za maji nawezaSasa hivi uko vzr au bado zinatoka kama vibaragara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi napika vizuri sana yani adi za maji nawezaSasa hivi uko vzr au bado zinatoka kama vibaragara
👏👏👏👏👏👏👏. Mimi ni mtaalam wa kuzila tu, hizo kitu zilishanishinda.sasa hivi napika vizuri sana yani adi za maji naweza
jaribu tu utaweza, sio kazi hata👏👏👏👏👏👏👏. Mimi ni mtaalam wa kuzila tu, hizo kitu zilishanishinda.
Chai inaachaje kuiva mkuu [emoji23]Wakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii [emoji23][emoji23][emoji23]. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko[emoji23][emoji23]. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.
Vipi wewe, siku ya kwanza kupika ilikuaje? Ulichojaribu kupika kilitokea freshi au ulienda kumwaga kimya kimya?
SEma , ulivoweza kupika WALI na sio Ubwabwa bokoboko ...... kunatofauti ya wali ,bokoboko au ubwabwaWakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii [emoji23][emoji23][emoji23]. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko[emoji23][emoji23]. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.
Vipi wewe, siku ya kwanza kupika ilikuaje? Ulichojaribu kupika kilitokea freshi au ulienda kumwaga kimya kimya?
[emoji3][emoji3] alikua anakudunda huku unaendelea kupika?2005 nilimwambia mama anipe mchele kidogo nijifunze, akanambia hana mchele wa kuchezea so akanipimia mwingi ili nipike chakula cha wote, kilichofuata ni mabao kila hatua mpaka wali ukakamilika, nahisi walikula na machozi yangu
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] karibu kwenye team ya bokobokoNakumbuka nilipewa mchele nianze pishi, nikabandika maji yangu mengii nili nije kupunguza yatanisaidia kuongezea baadaye ikitokea wali bado haujaiva, yalivochemka nikaweka mchele kila nikiangalia maji naona yatatosha bana si mengi sana hivyo haina haja ya kupunguza, Nikatulia zangu nasubiri kila nikifunua maji hayakauki tu, eeh nikaona sasa ngoja nipalie makaa juu na chini uendelee kuchemka, aah maji bado tu, mama akaja kucheki duh boko kama uji kabisa, akaniambia hili boko ntalimaliza mwenyewe na hamna kutupa chakula[emoji3][emoji3]. Akaanza kupika mchele mwingine tu
Hahaaa hatari , ulitoa boko boko pia?[emoji3][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] karibu kwenye team ya bokoboko
boko moja amazing hadi nikapewa jina hilo kwa muda😂😂😂😂Hahaaa hatari , ulitoa boko boko pia?[emoji3]
mwanzo mgumu, ila ukiendelea kujifunza unakua fundiNilisonga ugali una mabuja kama yote, baba akawasema mnamuachiaga wa nini huyu apike' ila mama alinifundisha taratibu kupika hadi Leo Niko fresh kwenye mapish
[emoji3][emoji3] hatariboko moja amazing hadi nikapewa jina hilo kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika huu uzi utawajua tu watoto wakishua waliolelewa na beki 3 wa3, anakuja jifunzia geto kupikaNilikua nimebaki Home mwenyewe tu.
Nilipika hakikuiva nkatupa jalalani
Nkasubiria warudi jioni.
Dada mi mtoto wa Maskini sana kama Mh Mizengo vile.Katika huu uzi utawajua tu watoto wakishua waliolelewa na beki 3 wa3, anakuja jifunzia geto kupika
[emoji3][emoji3] chabo ikakuponza pole, naimagine asubuhi mliangalianaje na jirani[emoji3]Nakumbuka mimi niliivisha vizuri tu wali wangu na dagaa kwenye jiko la mafuta. Nilikua nimepanga chumba kimoja na nyua ya chumba nilichokua nakaa kulikua na vyumba vingine vya wapangaji tumepeana migongo. Kwa hiyo madilisha ya vyumba vyetu yanatazamana.
Kutokana na joto la Dar, tukiacha madirisha wazi usiku, kila mmoja anaweza kuona ndani kwa mwenzie kama taa itakua imewashwa.
Sasa bana kwasababu siku hiyo ndio nilikua nimehamia hapo, niliamua kupika mapema, nikabenanisha sufuri ya wali na mboga kwenye jiko hilo la mafuta, nikapumzika kitandani.
Usingizi ulinipitia, kuja kushtuka nikasikia chumba cha jirani jamaa ameimport anachakata papuchi. Mechi ilikua kama wamepaniana vile.
Basi kwa sababu jamaa alikua amewasha taa na mimi nimezima, nikaamka mdogo mdogo kuelekea dirishani kuchungulia. Nikapiga teke jiko, nikamwaga mboga yote chini na sefuria ya wali ikajifunika chini.
Mchakataji akasitisha shughuli ghafla na kuzima taa. [emoji24][emoji24] Nikarudi mdogomdogo kitandani nikalala mpaka asubuhi.