Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
π π π π πUgali
Niliweka maji jikoni nikatia unga wa kutosha bila maji kuchemka ukiachilia mbali kupata moto,nikawa naongeza unga huku nasonga
Hapo nilikuwa sijawahi kuona hatua za mwanzo za upishi wa ugali zaidi kukuta mtu anasonga
Kilichotokea ni kama cement iliyotiwa mchanga na maji
π π π vipi sasa hivi umeshajua kuzipika vizuri?chapati nilisukuma roundi ikapitiliza kwenye kibao, nakumbuka jikoni nilikua nahangaika sana nikisukuma na mimi nasogea mama aligomba sana hio siku na alikua akikufundisha n mara moja tubya pili inakuhusu
sanaa yan niamshe saa saba za usiku unataka chapati utakula mkuuπ π π vipi sasa hivi umeshajua kuzipika vizuri?
ππNajua hauksahau kuweka chumviππUgali
Niliweka maji jikoni nikatia unga wa kutosha bila maji kuchemka ukiachilia mbali kupata moto,nikawa naongeza unga huku nasonga
Hapo nilikuwa sijawahi kuona hatua za mwanzo za upishi wa ugali zaidi kukuta mtu anasonga
Kilichotokea ni kama cement iliyotiwa mchanga na maji
Mimi nilikuwa napka wali kawaida boko nlipoanza ishi peke yangu.Wakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii πππ. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokobokoππ. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.
Vipi wewe, siku ya kwanza kupika ilikuaje? Ulichojaribu kupika kilitokea freshi au ulienda kumwaga kimya kimya?
πππNilipiga sato kwenye chungu nikaweka chini na majani ya mgomba nikimuiga bibi yangu kuongeza udambwiudamwi. Kilichotokea nilikuta samaki ameungua kawa mweusi kama 2pac wa ghana.
Ilikuwa mara ya kwanza kuachwa home peke yangu kwa kushtukiza.
ππMchicha kuwa muarobainiView attachment 2581294
Wali:
Kidume nikapika wali. Ule wali ulikuwa ukiweka kwenye sahani unalia kama kitenesi.
Tambi:
Zilitoka zimebandiana kama ugali halafu mbaya kishenzi.
Mchicha:
Ulitoka mchungu kweli kweli kama mti wa mwarobaini
Unafaa kuolewa hahahaa! Nimecheka sana jamani dah! πππMpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko.