kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Muache chalii wetu ww!..unatakaje sasa kwani!..Biblia inasema kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa kwa kujaa na kusukwa sukwa.Alimwombea Raisi kuwa atakufa kabla ya uchaguzi ujao.KIPIMO HICHO ALICHOPIMA kimrudie na kimpate.Happy birthday kwa leo akiendelea kusubiri kipimo alichopima.
Nampenda na Mungu ampe miaka mingi na nguvu na wala asiyumbishwe na uchwara tunajua kazi yake japo ccm wanajitahidi kuifunika pyuuuuuuu zaoSiku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Hongera sana mbunge wetu Godbless J Lema tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu zaidi .
View attachment 424378
View attachment 424377
View attachment 424376
Mbona hueleweki umekuja na mada nyinginetena umesema alimwombea raisi mabaya?Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?
Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema
Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?
Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu
"Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea mwizi, fisadi Lowasa" by Lema
Kati ya wale watu wanne vichaa nyie mmojawapo"Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea mwizi, fisadi Lowasa" by Lema