YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?
Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu