Siku ya leo alizaliwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mungu ampe maisha marefu

kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini

Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?

Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu

Biblia inasema kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa kwa kujaa na kusukwa sukwa.Alimwombea Raisi kuwa atakufa kabla ya uchaguzi ujao.KIPIMO HICHO ALICHOPIMA kimrudie na kimpate.Happy birthday kwa leo akiendelea kusubiri kipimo alichopima.
Muache chalii wetu ww!..unatakaje sasa kwani!..
 
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Hongera sana mbunge wetu Godbless J Lema tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu zaidi .

View attachment 424378
View attachment 424377
View attachment 424376
Nampenda na Mungu ampe miaka mingi na nguvu na wala asiyumbishwe na uchwara tunajua kazi yake japo ccm wanajitahidi kuifunika pyuuuuuuu zao
 
Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?

Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu

Mbona hueleweki umekuja na mada nyinginetena umesema alimwombea raisi mabaya?
 
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema

Siku ya kuzaliwa Lema inatukumbusha Jinsi Lema anavyolitaja bure jina la Mungu Kinyume na Biblia inavyosema USILITAJE BURE JINA LA MUNGU.Ona hapo anavyotaja bure jina la MUNGU

Mtahangaika sana....naamini MTU kapigwa mpingo kumbukumbu haipotei !
 
Lema mbunge makini? Huyu asiyependa watu wengine wasifiwe?

Angalia hapo video jinsi Lema alivyopanda hasira mno wakati mkuu wa mkoa alipowasifia akina Mawalla.Alipotamka tu kuwasifia akina Mawala hapo hapo Godbless Lema alilipuka kwa hasira ya ajabu. .Hao akina Mawalla hakutaka wasifiwe? KILICHOMPANDISHA hasira ni akina mawalla kusifiwa.Ona mwenyewe.Hivi akina Mawalla walimkosea nini kiasi kuwa wakisifiwa anapanda hasira hivyo.Mkuu wa mkoa kuwataja tu akina Mawala jamaa akawaka hasira ambazo zilishangaza hadi wazungu

"Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea mwizi, fisadi Lowasa" by Lema

Kati ya wale watu wanne vichaa nyie mmojawapo
 
Happy birthday mbunge wetu kipenzi chetu. Mungu akupe maisha marefu . Tunakuombea ushinde tena 2020 , jiji lako hili
 
Happy birthday Lema...Mungu anaiona kazi unayoifanya kwa wana Arusha na Tanzania kwa ujumla
 
Back
Top Bottom