Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Ninadhani mwalimu wangu wa la kwanza alikuwa hatambui baadhi ya maumbile ya M/Mungu.
Nimezaliwa mashoto.
Nilipoanza la kwanza wakati wa kujifunza kuandika, bila kuelezwa kwanini, mwalimu Asia, sijui yuko wapi huyo mama! Yawezakana akawa ni kambibi flan mtaafu.
Alikuta nahangaika mwenyewe na shoto langu, akaninyonga sikio la kushoto kwa mkono wake wa kulia huku mkono wake wa kushoto kafinya shavu langu la kulia huku akininyenyua kwenye benchi.
Nilivyosimama kwa kunyookea maumivu, aliniachia kwa kunikita konzi la kuadhibia mtoto mwizi. Kisha kuniuliza kwanini ninaandikia mkono wa mavi?
Kipigo kile kilinifanya niogope na kuacha kabisa kuthubutu kuandikia shoto maisha.
Nilijilazimisha kama mlemavu kuandikia mkono nisiojaliwa nao nguvu hadi nikaweza.
Nilijua kweli labda kweli ni mwiko kuandika kushoto, nimekuja kustaajabu baada ya kuendelea na masomo ya juu kukutana na mashoto wenzangu wakiandikia kushoto!
Hadi leo huwa napenda kuelewa msimamo wa huyo mwl. Asia lkn hushindwa kumuelewa kwanini aliamua kunitenda namna hiyo.
 
Itabidi tupendane wenyewe mashoto kwa mashoto, maana kwenye chakula cha usiku maright wanatusema kuwa tunakwenda vice versa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Eti hatunati na beat!!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Mashoto wengi wana watoto wachache, wakizidi sana wamefyatua wa 3..
Acha utani![emoji15] [emoji15] Luna wengi nawajua ni mashoto but wanna watoto zaidi ya watano[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wanakiri kwamba maleft wanakuna vizuri kuliko maright[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
ninapenda sana mada zako Barafu... huwa unachambua vzr. mimi ni Right hander, lakini ulivyopamba mada yako hata kama ni mwl angekupa tu maksi make ume defend vzr... BTW HONGERENI SANA MASHOTO.
 
Mkuu hii imenilenga kwa kila kitu Yaani umenichambua kama kama karanga vyote ulivyo sema ndivyo nilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…