Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Mi sio mashoto ila huu uzi umenikumbusha rafiki yangu wa utotoni mashoto na yeye alikuwa smart sana shida ilikuwa tukikaa wote kwenye benchi darasani tunagongana viwiko

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Soma hizi ١ ٢ ٣ ٤ ٥ ٦ ٧ ٨ ٩

Jamii Forums mobile app
Sijui huko mbeleni kama alitoa Jibu.

Ngoja tumsaidie.

Moja, Mbili, Tatu, Nne, Tano, Sita, Saba, Nane, Tisa.

Sasa hapa sisi wa Mashoto si Mtihani huu!

Hatuwezi kukiuka kuanzia na Namba Tisa kushuka chini.

Akhsante sana alibakari
 
Alafu utafiti unasema kwamba sisi tunaotumia mkono wa kushoto tunafariki mapema ukilinganisha na wanaotumia mkono wa kulia. Hii wanasema kwamba matumizi ya mkono wa kushoto na moyo upo kushoto ni moja ya sababu
 
Ahsante sana kwa uliyeshea pia kuweka credit ya mwandishi. Pia nimefurahi kuweza kuwafahamu mashoto wenzangu wengine.
 
Chief... Umetumia muda gani kuandika hii article[emoji119][emoji119] ndefu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu utafiti unasema kwamba sisi tunaotumia mkono wa kushoto tunafariki mapema ukilinganisha na wanaotumia mkono wa kulia. Hii wanasema kwamba matumizi ya mkono wa kushoto na moyo upo kushoto ni moja ya sababu
Mapema kama miaka mingapi mbona akina billgatea, obama na bush wamekula chumvi. Sidhani kama kuna ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…