Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Msaada Mtoto wangu anatumia kushoto,nataka nimfundishe kuchamba, je atumie mkono upi,
 
Mwalimu wangu aliitwa Venance Shirima alikua na uwezo wa kuandikia mkono wa kushoto na wa kulia kwa namna sawa kabisa. Miaka michache iliyopita nlimkuta keshawehuka anaokota makopo. Nafikiri kuna mtu alimroga!
 
Mwalimu wangu aliitwa Venance Shirima alikua na uwezo wa kuandikia mkono wa kushoto na wa kulia kwa namna sawa kabisa. Miaka michache iliyopita nlimkuta keshawehuka anaokota makopo. Nafikiri kuna mtu alimroga!
Umeleta za Ikwiriri eti mtu kamroga
 
"Opposite is better than normal' hata msalani mashoto ndiyo 'engine'
 
Nyie watu mna changamoto nyingi sana.
 
I Thanks God kwa kutumia mashoto, Uzi huu una relate na mambo yangu mengi sana
 
Kwahiyo jana ilikuwa happy magari ya dubai day[emoji23][emoji23][emoji23]
Jana pia ilikiwa ni birthday ya Fid Q
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Asante barafu mie binti yangu ni mashoto na yuko smart kweli darasani na alipomwandikisha shule ya awali kwa shule moja ya wakorea hapa kongowe ina itwa Philadelphia primary mmiliki wa shule ilibidi wamwagizie desk lake kwani madesk yote yalikuwa ni kwa ajili ya wanaoandikia kulia. Ni yale madesk ambayo yameungana na kiti
Napenda sana anavyo shika pen na jinsi anavyo weka daftari au karatasi wakati wa kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…