Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?