Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jun 16, 2022 #1 Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
maghambo619 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,537 Reaction score 1,360 Jun 16, 2022 #2 Nakumbuka Baba alikua akinisomea kitabu cha alfu Lela ulela, Nakumbuka na zile simulizi za bu Debora mwenda radio Tanzania.
Nakumbuka Baba alikua akinisomea kitabu cha alfu Lela ulela, Nakumbuka na zile simulizi za bu Debora mwenda radio Tanzania.