Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

Mzee.
Naona ajabu tena kubwa kila kukicha wataja tu wanaharakati wa Kiislamu kwenye kupigania Uhuru wetu. Yaani ni kama vile Uhuru uliokuwa unatafutwa ulikuwa wa kusimamisha Dola ya Kiislamu
 
Mzee.
Naona ajabu tena kubwa kila kukicha wataja tu wanaharakati wa Kiislamu kwenye kupigania Uhuru wetu. Yaani ni kama vile Uhuru uliokuwa unatafutwa ulikuwa wa kusimamisha Dola ya Kiislamu
Uzalendo...
Hivi ndivyo historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika ilivyokuwa.

Inakushangaza?

Wala haikuwa kusimamisha Dola ya Kiislam.

Waasisi hawa wengi wao wakiwa ni Waislam wangekuwa na fikra hiyo wangeivuruga nchi.

Hili walilitambua na ndiyo kisa cha Nyerere kupewa uongozi wa TAA 1953 na 1954 ikaundwa TANU Mwalimu akaongoza harakati za kudai uhuru.

Tafuta hapa JF historia ya Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall baina ya Abdul Sykes na Nyerere.

Kisa cha kusisimua.
Angalia hii video utaelewa:

View: https://youtu.be/YnlrD3dVZpo
 
Hahahahahaha..kwa jinsi ulivyoandika na vile napajua hapo basi nimevuta taswira ya eneo lote hilo ..je hii nyumba ndio ile inatazama geti la Jengo la ccm mkoa ? Iliko hotel ya wasomali ..baada ya wasomali ofc za gazeti sikumbuki jina
 
Wazo zuri sana
 
Tre...
Ndiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…