Hatuwezi kupingana na asili muhimu ni kufurahia kila momentNdivyo asili ilivyo
Mimi tokea 1988 ni almost 38 yrs ila yule mama simkumbuki jina maana alihama shule akili zikiwa bado kuchaji vizuli.Namkumbuka sana,alikuwa akiitwa Modester Matagane,segese-kahama, miaka ile!!
Sijui kama yu hai au laaah,maana ni miaka almost 40 sasa
Wangoni bhana 😂 Yani kila Kona kupaishana.Mwl Nchimbi, miaka 23 iliyopita.
Ubarikiwe sana wee mzee.
Kama ya Samia ?hatia
Nilimaanisha hati (mwandiko).Kama ya Samia ?
Kivipi??Wangoni bhana 😂 Yani kila Kona kupaishana.
Yupo hai mkuu umemsahau secilia kanoniNamkumbuka sana,alikuwa akiitwa Modester Matagane,segese-kahama, miaka ile!!
Sijui kama yu hai au laaah,maana ni miaka almost 40 sasa
Hati- kiswahiliMmenikumbusha mbali sana, kuna demu secondary alinipenda kwasababu nilikua na hati (mwandiko)mzuri, nilikua na hati zaidi ya moja kila somo na hati yake, wakawa wanasema "nina hati nzuri!" Kila daftar na mwandiko wake.
Kuna wengine nao mwandiko mlikua mnaita hati?
huyo mwalimu alikuwa mwehu kutikujua kuwa kuna watu wanatumia mkono wa kushoto kuandikaMamq Mchilasi popote ulipo kula gwala. Ila sitasahau ulinichapa sana stiki za mkono wa kishoto Ili niansikie mkono wa kulia. Big mwalimu Mwafalo the headteacher kwa kumpa somo mama Mchilasi kwamba hata mkono wa mashoto hauna shida kwa kuandikia ni maumbile tuu. Ndio ikawa pona pona yangu.
Safi, hebu andika tuone maandiko wana JFMmenikumbusha mbali sana, kuna demu secondary alinipenda kwasababu nilikua na hati (mwandiko)mzuri, nilikua na hati zaidi ya moja kila somo na hati yake, wakawa wanasema "nina hati nzuri!" Kila daftar na mwandiko wake.
Kuna wengine nao mwandiko mlikua mnaita hati?
Mkuu siowehu, exposure ya walimu wetu wale ilikuwa ndogo sanahuyo mwalimu alikuwa mwehu kutikujua kuwa kuna watu wanatumia mkono wa kushoto kuandika
Duh,secikia kwanini yupo,vipi kanoni naye yupo!?Yupo hai mkuu umemsahau secilia kanoni