Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani.
Kwanini Serikali na inalea watumishi wazembe hivyo?! Ndio maana miradi mingi ya serikali hufa na hawapati faida na inaendeshwa kwa hasara.
TANESCO INAPATA HASARA KUBWA kutoka na kuhujumiwa na watumishi wake .Meneja wa mkoa tabora TANESCO wa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika.
Nguzo kumi zimeleta hadha ya umeme siku 4.wamelikosesha shirika mapato na bado wako ofisini.Ingekuwa kipindi cha Mwendazake sasa hivi wangekuwa wanalima mihogo.
Mainjinia nao pia wako ofisini tu hawajui nini cha kufanya. Biteko take action on these bandits