Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

Radio kicheko kipindi cha saa 3 mpaka saa 4 na Efm kipindi cha jioni ya leo
 
RFA{RADIO FREE AFRICA]
 
Hivi kuna watu bado wanasikiliza radio ?
Mbona swali lako linaonyesha uwezo mdogo wa kufikria au ndio ujanja wenyewe huo? Radio ni muhimu kuliko chombo chochote cha habari duniani ikifuatiwa na TV huwezi kuanzisha kituo cha TV kama hujaanza na radio usiwe rimbukeni wa social network.
 
Redio yangu ilikua RFA tu! Majembe yameshaondoka, wakina fredwaa, ahmed baragaza n.k.
 
DW &BBC Swahili

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Radio Maria kwa Tanzania
Kiss Fm,classic FM na home boys radio kwa Kenya
 
SIku hizi nasikiliza Radio nikiwa kwenye dalala tu, Magazeti nishasahau kusoma.
 
Naomba kuuliza Passion Fm ilienda wapi, nazungusha button ya kutafuta radio stations siipati kabisa
 
Tokea 2015 sijasikiliza redio mpaka Leo hii sisikilizi redio za wanasiasa wa CCM. Redio zinakaa zinasifia na kutukuza serikali ya CCM badala ya kukosoa , siwezi sikiliza hata nukta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…