Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Redio Mwangaza FM kama nipo home...haina mambo ya kipuuzi..haina wale wanaume waliojegeuza wanawake wanachambaaa kipindi kizima..bongo fleva wana,select za kucheza sio zenye matusi matusi ya wazi...so ni redio nzuri kwa familia...jioni napata matangazo ya moja kwa moja kutoka BBC...mchana Idhaa ya kiswahili kutoka DW German...