Toa frequency mkuu, maana ile 96.1 sijui ya Dsm iko kimia.
Ngara moja hiyo, ni moja ya radio inayorusha matangazo ya jioni na asbh ya BBC London
Mkuu unasikiliza zote hizo online au!jogoo fm ~ songea ruvuma
Kwizera fm ~ngara kagera
planet fm ~ morogoro
Kama upo DSM ni 103.3, sema haina ile ladha tena.Naomba kuuliza Passion Fm ilienda wapi, nazungusha button ya kutafuta radio stations siipati kabisa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Kama upo DSM ni 103.3, sema haina ile ladha tena.
Kila ukifungua unasikia ndiyoooo, ndiyooo, ndiyoo bab!
Kuna wachungaji wanapiga maneno muda karibu wote utasikia mchombezaji anasemda ndiyoooo![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa nn ndioo ndiooo tena.
Miaka ya 2020 Ilikuwa full miziki, ikipoa kidogo unasikia kale kanjiwa krukuuu krukuuuu kakinyamaza tu unaungwa muziki juu kwa juu.
Niliipendea hapo hii paaaaasheeeni Fm.
Nime wahi ishi maeneo hayoMkuu unasikiliza zote hizo online au!
Maana jogoo fm inashika songea, mbinga, njombe kidogo na maeneo machache ya ludewa.
Kwizera ni Kagera na Mwanza kama nimewahi kuisikia.
Hapo sawa, pia nimeishi songea mfaranyaki enzi hizo kuna jogoo fm na radio maria.Ni
Nime wahi ishi maeneo hayo
Jifunze kutofautisha R na LMbona swali lako linaonyesha uwezo mdogo wa kufikria au ndio ujanja wenyewe huo? Radio ni muhimu kuliko chombo chochote cha habari duniani ikifuatiwa na TV huwezi kuanzisha kituo cha TV kama hujaanza na radio usiwe rimbukeni wa social network.