Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

Ila jamani hili dodoso maswali mengine ni ugomvi na watu. Kuna swali la una watoto wangapi walio nje...heheeee hapo chacha. Wanaume leo watadanganya jamani
 
Kwani makarani wanakuja na sembe huko mitaani?

Mapumziko ni kwa watumishi ambao kipato chao ni static
 
Hawa makarani wakija watajijua wenyewe nimechoka kuwasubiri, tunafunga milango tutoke
 
SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA?

Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo?

Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
Maduka yamefunguliwa maisha lazima yaendelee kama kuna mtu nyumbani umemuacha anakuwakilisha haina shida kabisa lakini ni muhimu kuhesabiwa kwa maendeleo ya jamii
 
Back
Top Bottom