inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unataka upige kabali mzee!?Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka upige kabali mzee!?Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?
Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?
Ili muwakabe mpite nazo [emoji16]
🤣Unataka upige kabali mzee!?
Nimepishana nao getini...maana nimesubiri weee hawaji, mjasiriamali mimi nikasepaao makarani wameanzia wapi mbona hamna dalili
Maduka yamefunguliwa maisha lazima yaendelee kama kuna mtu nyumbani umemuacha anakuwakilisha haina shida kabisa lakini ni muhimu kuhesabiwa kwa maendeleo ya jamiiSIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA?
Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo?
Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?