jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 360
Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka.
Chakusikitisha š®āšØ hizi sikuu zimekuwa ni chanzo cha maovu meeeengii........ngingingi
Yaani chukulia mtu amefunga siku 29 hadi 30 kwa muslims, na wakristo (Catholics) hadi siku 40 mtu umejinyima kula mwili umeteseka saana ,haitoshi huenda ulikuwa mtu wa Maombi na maombezi saana au ukawa swala tano sijui 6...
Lakini ndani ya Nafsi siri nyingi za uovu zinalipuka siku ya sikukuu siku hiyo mtu mfungaji ndiye atalala na Mke wa mtu tena jirani yake kabisaaaa, Siku hiyo mtu atakunywa bia kufidia siku ambazo alifunga,
Yaaani ni ngono na pombe ndo vinatawala, Kuna nini nyuma ya pazia katika Sikukuu hizi???
Maoni yangu ; Chagua maisha ya kuishi uchaguzi sahihi acha dini za kupritend , Acha kujitesa kwa kushinda na njaa ili Siku moja ndo ukuvuruge.
Siku ya Leo kuna mke/wake au mme/waume wa mtu wanaibiwa na walifunga So sad.
Ni mtazamo tu, kama una cha kuchangia karibu