Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

Kuna muda wanaume tunatikiwa kuwaelewa wanawake akishakuambia ataki acha kwani ww kupikicha vidole kule kwa bibi kula raha gani

Akunyimae kunde kakupunguzia ........
 
Kama ni mimi hiyo ndoa naibatisha mda huo huo na sihitaji ushauri wa mtu yoyote maana huo utumwa ndio wa milele, hivi kabla hajaolewa yalikua hayazeeki🤬🤬🤬
 
Aiseeeee 🙌
 
Na wote tuseme ameeeeen!
 
Habari njema sana hii kwa mwanaume. Ni tiketi ya kwenda kunyonya huko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…