Siku ya tano hii narudishiwa chenji iliyozidi na kwenye daladala nasahaulika.

Wakuu kwema.

Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.

Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe.

Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda kununua kitu, mfano kitu cha 1000, narudishiwa chenji 4000+, nk.
Namimi naamua kukaa nayo cozi nina shida na hela. Siku ya tano hii tangu haya yaanze kutokea.

Wakuu hii ina maana gani au iliwahi kuwatokea hata nyie. Na je kuna namna ya kuifanya situation iendelee
Thibitisha haya yanatokea kweli.
 
Wala husihofu, katika ulimwengu Kuna mambo mengi Cha msingi husichukue kisicho haki,hukiona Hali hiyo rudisha kwa wenye nacho husichukue.Hali hiyo itatoweka tu Cha msingi kuwa mwaminfu mbele za mungu
 
img_1_1715440165736_1.jpg
 
Wewe ni mwi
Wakuu kwema.

Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.

Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe.

Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda kununua kitu, mfano kitu cha 1000, narudishiwa chenji 4000+, nk.
Namimi naamua kukaa nayo cozi nina shida na hela. Siku ya tano hii tangu haya yaanze kutokea.

Wakuu hii ina maana gani au iliwahi kuwatokea hata nyie. Na je kuna namna ya kuifa

Wakuu kwema.

Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.

Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe.

Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda kununua kitu, mfano kitu cha 1000, narudishiwa chenji 4000+, nk.
Namimi naamua kukaa nayo cozi nina shida na hela. Siku ya tano hii tangu haya yaanze kutokea.

Wakuu hii ina maana gani au iliwahi kuwatokea hata nyie. Na je kuna namna ya kuifanya situation iendelee
Wewe ni mwizi. Hizo hela za watu rudisha
 
Wakuu kwema. Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi. Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe. Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda kununua kitu, mfano kitu cha 1000, narudishiwa chenji 4000+, nk. Namimi naamua kukaa nayo cozi nina shida na hela. Siku ya tano hii tangu haya yaanze kutokea. Wakuu hii ina maana gani au iliwahi kuwatokea hata nyie. Na je kuna namna ya kuifanya situation iendelee

kuna kuku hapa anatafutwa ategeshe kichwa achinjwe…..😂😂😂😂🤣🤣
 
Mi pia inanitokea iyo hali kama wewe aisee,kama ilo la chenji ndo kabisaa, mwisho juzi hapa
 
Back
Top Bottom