Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
 
Muombe msamaha kinafiki tu ili mambo yaende. Some women are just grown up babies na Biblia Takatifu imetutaka tuishi nao kwa akili.

Unavyochelewa kuomba msamaha anaweza kuamua kwenda kutafuta faraja na kusifiwa kwa njemba yoyote ofisini kwao ili akukomoe🙂
 
Kama unataka kumwomba msamaha mwombe kijanja. Akiamka tu baada ya kunawa uso mwambie bibie leo mbona umepemdeza sana hata zaidi ya siku ile? Halafu pitisha mkono sehemu unakojua ukimgusa tu lazima aachie tabasamu.. Kisha mkagonge tea mengine yaendelee
 
Sawa mkuu..shukran
 
Muombe msamaha kinafiki tu ili mambo yaende. Some women are just grown up babies na Biblia Takatifu imetutaka tuishi nao kwa akili.

Unavyochelewa kuomba msamaha anaweza kuamua kwenda kutafuta faraja na kusifiwa kwa njemba yoyote ofisini kwao ili akukomoe🙂
Sawa mkuu
 
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Papuchi anakupa?
 
127647076_4022644834420544_1388362427693249373_n.jpg

Mbona kama kapendeza sana tu, ni wivu tu
 
Nadhani. Umefanya haraka kuoa. Ungetulia kidogo kujifunza jinsi ya kuenshi na hawa viumbe ! Mwanamke hana madogo wala makuu. Yote yanakua sababu ya ugonvi ndani ya nyumba
 
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Ana umri gan?
 
Back
Top Bottom