sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa namtetea ila interview ya jana na wakina soudy aisee kaongea shudu la kiwango cha SGR, kaanza kukumbushia kuwa ashatoka na Queen kwa hiyo Mondi ni shemeji yake, yani story ya zaidi ya miaka 13 iliyopita. Nikajiuliza why now?Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
Ingekua zama zake zimesha usinge Kuja kumuongelea umu ndan alafu ujue dabulisibii hawalal Wana kesha YouTube ili Kiba asiwe namba moja trend pia mkumbuke msanii wa kwanza tanzania nyimbo yake ku trend siku saba mfululizo ni nyimbo ya Alikiba Dodo io rekod hata domo hajawekaNaona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyota ya mtama, unga wake ni wa pombe tu, labda itokee njaa
Acha uongo wewe, unajua jeje ili trend siku ngapi au unaropoka tu.Ingekua zama zake zimesha usinge Kuja kumuongelea umu ndan alafu ujue dabulisibii hawalal Wana kesha YouTube ili Kiba asiwe namba moja trend pia mkumbuke msanii wa kwanza tanzania nyimbo yake ku trend siku saba mfululizo ni nyimbo ya Alikiba Dodo io rekod hata domo hajaweka
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Jeje ili trend siku 4 na nusuAcha uongo wewe, unajua jeje ili trend siku ngapi au unaropoka tu.
Wiki 2 na nusu sio siku nne naona umepoteza kumbukumbu au unafanya maksudi kwa interest zako.
🤣🤣🤣🤣🤣Nyota ya mtama, unga wake ni wa pombe tu, labda itokee njaa
Kama ujui kitu unauliza sio unapinga kila kitu. Jeje imetrend pale siku kumi na tano mfululizo na ilikuja kuondolewa pale na mechi ya simba na yanga na bado ikawa namba moja trending music video.
ZuchuIngekua zama zake zimesha usinge Kuja kumuongelea umu ndan alafu ujue dabulisibii hawalal Wana kesha YouTube ili Kiba asiwe namba moja trend pia mkumbuke msanii wa kwanza tanzania nyimbo yake ku trend siku saba mfululizo ni nyimbo ya Alikiba Dodo io rekod hata domo hajaweka
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Na sote tuseme Amina...Msukule on freak.
Wimbo wa Mediocre ni mbovu nakubali, ni disstrack ila ilitakiwa kuwa rap ila Sasa vijana wa siku hizi mmekuwa misukule mnooooooo.
Yaani hata Disstrack ya Harmonize ina afadhali.
Maana kwenu mtu mmoja mungu, wengine wote wakosaji.