Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

Huo sio wimbo..ni speech...anawafundisha vijana kuwa waache skendo wafanye nyimbo...hiv mbona hamumpendi kufundishwa nyie timu chuchu
 
Nilikuwa namtetea ila interview ya jana na wakina soudy aisee kaongea shudu la kiwango cha SGR, kaanza kukumbushia kuwa ashatoka na Queen kwa hiyo Mondi ni shemeji yake, yani story ya zaidi ya miaka 13 iliyopita. Nikajiuliza why now?
Anyway kila mtu na taste yake kwangu wimbo ni wa kawaida, wimbo wake wa mwisho kuupenda ni mshumaa

Kweli anamsema Mond?

Kifundo bana
 
Mfa maji hakosi kutapatapa
Nilikuwa namtetea ila interview ya jana na wakina soudy aisee kaongea shudu la kiwango cha SGR, kaanza kukumbushia kuwa ashatoka na Queen kwa hiyo Mondi ni shemeji yake, yani story ya zaidi ya miaka 13 iliyopita. Nikajiuliza why now?
Anyway kila mtu na taste yake kwangu wimbo ni wa kawaida, wimbo wake wa mwisho kuupenda ni mshumaa
 
Ni audio na hajawai ipost, na iana views 1m ,sasa audios ya kiba Ina siku 5 ila Ina 200k na kaipromot je nani Bora?

😂😂😂 Mnajitafutiaga presha Za bure, ukikua utaacha

Fanya kazi ongeza kipato, mwite diamond na kiba waje kufanya show nyumbani kwako

Haya mahaba kwa wasanii unaonekana kabisa wewe ni average person, mediocre na ni maskini
 
Unakuta mtu anayemuongelea ivi kiba bado yuko kwa shemeji kama katoka saaana kapanga chumba kimoja
 
😂😂😂 Mnajitafutiaga presha Za bure, ukikua utaacha

Fanya kazi ongeza kipato, mwite diamond na kiba waje kufanya show nyumbani kwako

Haya mahaba kwa wasanii unaonekana kabisa wewe ni average person, mediocre na ni maskini
Yaani a very hopeless one anaona akiongelea maisha ya mwenzie anapata faraja flani ivi
 
Nilikuwa namtetea ila interview ya jana na wakina soudy aisee kaongea shudu la kiwango cha SGR, kaanza kukumbushia kuwa ashatoka na Queen kwa hiyo Mondi ni shemeji yake, yani story ya zaidi ya miaka 13 iliyopita. Nikajiuliza why now?
Anyway kila mtu na taste yake kwangu wimbo ni wa kawaida, wimbo wake wa mwisho kuupenda ni mshumaa
Kings music wanamtesa Mond..Dimpoz kala bi mkubwa..Kiba dada..Tonny kala kimada chake
 
Mkuu hivi unajua kiba na queen darlin walikuwa na mahusiano mwaka 2007/8 huko yani hata Mond hajaanza kujulikana, enzi za cinderela na G-records wote wakiwa chini ya G-lover. Yani ni zilipendwa kuanza kuizungumzia leo.
 
Back
Top Bottom