princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
[emoji817] hio sentensi ya mwishoMsukule on freak.
Wimbo wa Mediocre ni mbovu nakubali, ni disstrack ila ilitakiwa kuwa rap ila Sasa vijana wa siku hizi mmekuwa misukule mnooooooo.
Yaani hata Disstrack ya Harmonize ina afadhali.
Maana kwenu mtu mmoja mungu, wengine wote wakosaji.