Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

Msukule on freak.

Wimbo wa Mediocre ni mbovu nakubali, ni disstrack ila ilitakiwa kuwa rap ila Sasa vijana wa siku hizi mmekuwa misukule mnooooooo.

Yaani hata Disstrack ya Harmonize ina afadhali.

Maana kwenu mtu mmoja mungu, wengine wote wakosaji.
[emoji817] hio sentensi ya mwisho
 
acha kufurahisha waliolala, rekodi za kijinga hizo
 
Naisikiliza hapa mzee mashudu[emoji3][emoji3]
 
Kaoshen papa zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]king atabak kua king View attachment 1581491

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Naona YouTube wameanza kulipa video zinazotrend au sio???
Usisahau hata seduce me na zilipendwa ilikuwa hivyo hivyo ila leo zina views difference ya Zaidi ya millioni kumi.
Nawashauri tu tim kiba msiwe mnakata moto mapema,mnamwaibisha kingi.
Lakini kiukweli inasikitisha,unajisifu kwa mtu anaye jiita king kumtoa binti mwenye miezi sita kwenye game trending wakati huo huo kamkuta akiwa na wiki moja hapo trending???
How comes kama wangeachia video kwa pamoja???
Bora ungekaa kimya ndugu yangu.
 
binafsi nimemdisi,
apeleke njaa zake huko kw kijani,
kama halipwi.
atulie ajiheshim.
tunaompandish ndio ss,
hlf kaenda kuzingua kule kweny makofia ya mgawo.
shenzy type
 
Nyie watu,hebu kubalianeni na halisia,Kiba Ni msanii mdogo,kukaa kweke kwenye game muda mrefu hakutoshi kuupotosha ukweli huo.Kuhusu kuzungumzia hat amberutty anazungumziwa.

Ukitaka kubishana na Mimi,njoo na mafanikio ya kiba kimziki,tuyalinganishe na mafanikio ya mond.🚶
 
Pmoja nahayo yoote Diamond si kaachia ngoma siku chache inaitwa ongeza?? Mbona inachechemea mno kuliko hii ya Kiibakura
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]afu jeje nao two week umesahau, jeje 35views na dodo 10 views gap 25 view jibu mbigu na ardhi
 
Pmoja nahayo yoote Diamond si kaachia ngoma siku chache inaitwa ongeza?? Mbona inachechemea mno kuliko hii ya Kiibakura
Ni audio na hajawai ipost, na iana views 1m ,sasa audios ya kiba Ina siku 5 ila Ina 200k na kaipromot je nani Bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…