Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

Huo sio wimbo..ni speech...anawafundisha vijana kuwa waache skendo wafanye nyimbo...hiv mbona hamumpendi kufundishwa nyie timu chuchu
 
Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?

Kwa sasa status ikoje?

Mnapenda kuaibika kwa sababu ya chuki
 
Kweli anamsema Mond?

Kifundo bana
 
Mfa maji hakosi kutapatapa
 
Ni audio na hajawai ipost, na iana views 1m ,sasa audios ya kiba Ina siku 5 ila Ina 200k na kaipromot je nani Bora?

😂😂😂 Mnajitafutiaga presha Za bure, ukikua utaacha

Fanya kazi ongeza kipato, mwite diamond na kiba waje kufanya show nyumbani kwako

Haya mahaba kwa wasanii unaonekana kabisa wewe ni average person, mediocre na ni maskini
 
Unakuta mtu anayemuongelea ivi kiba bado yuko kwa shemeji kama katoka saaana kapanga chumba kimoja
 
😂😂😂 Mnajitafutiaga presha Za bure, ukikua utaacha

Fanya kazi ongeza kipato, mwite diamond na kiba waje kufanya show nyumbani kwako

Haya mahaba kwa wasanii unaonekana kabisa wewe ni average person, mediocre na ni maskini
Yaani a very hopeless one anaona akiongelea maisha ya mwenzie anapata faraja flani ivi
 
Kings music wanamtesa Mond..Dimpoz kala bi mkubwa..Kiba dada..Tonny kala kimada chake
 
Kings music wanamtesa Mond..Dimpoz kala bi mkubwa..Kiba dada..Tonny kala kimada chake
Mkuu hivi unajua kiba na queen darlin walikuwa na mahusiano mwaka 2007/8 huko yani hata Mond hajaanza kujulikana, enzi za cinderela na G-records wote wakiwa chini ya G-lover. Yani ni zilipendwa kuanza kuizungumzia leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…