thank you mondray [emoji8][emoji8]Heshima kubwa zimuendee mwanamke nimpendae zaid hapa duniani Mama Ray.. My mother kwa kunifanya niwe hapa nilipo sasa kwa kunilea na kunitunza. Nitakupenda na kukutunza mama yangu uishi maisha marefu.
Nawatakia heei mabinti hawa wafuatao...
Candyscorpion
Joanah
Numbisa
Shunie
Paprika BlessedHope
Thanx to shemelathank you mondray [emoji8][emoji8]
Mtoto wa kariakoo vip tena, hutaki acknowledge!!!
aKuna nini cha ku "acknowledge" katika haya mambo ya wajinga ndiyo waliwao?
Amewezaje kukusahau.Asante japo hukunitaja
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Asantee babaah [emoji8]Heshima kubwa zimuendee mwanamke nimpendae zaid hapa duniani Mama Ray.. My mother kwa kunifanya niwe hapa nilipo sasa kwa kunilea na kunitunza. Nitakupenda na kukutunza mama yangu uishi maisha marefu.
Nawatakia heei mabinti hawa wafuatao...
Candyscorpion
Joanah
Numbisa
Shunie
Paprika BlessedHope
Mi nimefeli kwenye helaasanteni kwa kunipenda .. kwa kutumia fursahii ya siku ya wanawake duniani..
tunahitaji kutunzwa (kupewa hela)
kupendwa
kudekezwa ooh mke wa kikwete mzuri anatunzwa huyo tunza wako uone kama atakuwa mbaya loh ..
asante kwa kunipenda nakupenda pia
Alisema wote kesho atakutaja mama usinuneKwani wakiwa single mothers siyo wanawake? Asante ingawa sikutajwa
NAKUPENDA sana JoanahAsantee babaah [emoji8]
Oops nakupenda pia kaka anguGeniveros
Atoto
Heaven Sent
Evelyn Salt
Sky Eclat
Mkifanikiwa kupita hapa juweni nawapenda sana dada zangu. Wacha niwatakie maadhimisho mazuri katika siku yenu hiyo .
Ahsante sana shem
Upo vzr ila shem umemuweka mbalijje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
husna muba
Valentina
Patience123
@seene
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Unamjua kwani...Upo vzr ila shem umemuweka mbali