Mie staki kura za nyuma yakhe...watasikia labda ungenisuport ww
Mim Ni Mmoja Kati Ya Viumbe Vinavyokupenda[emoji120] kupendwa raha jamani,
Shukrani Mkuu [emoji8]Mim Ni Mmoja Kati Ya Viumbe Vinavyokupenda
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji120] kupendwa raha jamani,
Mwache aigilizie vya kumfanyia mkewe. Ujue penzi lenu la demo eeeh [emoji4][emoji4]Mondray kwa kukodoa kwenye visivyokuhusu [emoji2] [emoji2] haya kalale
[emoji21][emoji21]Shukrani Mkuu [emoji8]
[emoji12]Mie staki kura za nyuma yakhe...
Nataka zile halali tu
Hahaaaaaa acha nimuumbue mtani wanguMondray kwa kukodoa kwenye visivyokuhusu [emoji2] [emoji2] haya kalale
Usiku Mwema, usisahau kutembea na ATM card kesho tunaanzia Mwembe yanga [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji4][emoji4][emoji4]
Mwache aigilizie vya kumfanyia mkewe. Ujue penzi lenu la demo eeeh [emoji4][emoji4]
Komesha ni kuviloga tu. Maana mabinti wakali vinamilikiVijana tuna malengo ya kumiliki uchumi hivyo vibabu vinasubiri kufa ndo maana viko tayari kwa matumizi ya kila aina
Lin sasa Tutaenda kuchukua Hayo MaembeShukrani Mkuu [emoji8]
Akurudishie kwanza hilo busu lako...[emoji57]Shukrani Mkuu [emoji8]
Usiku Mwema, usisahau kutembea na ATM card kesho tunaanzia Mwembe yanga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
CASH MADAMEUsiku Mwema, usisahau kutembea na ATM card kesho tunaanzia Mwembe yanga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Usihangaike navyo we hangaika kuisaka shilingi watoto wakali watakuja wenyewe tuKomesha ni kuviloga tu. Maana mabinti wakali vinamiliki
Hahaaa vinataka iPhone7 wakat watu tunamiliki Teckno Y2Usihangaike navyo we hangaika kuisaka shilingi watoto wakali watakuja wenyewe tu
Werraa werrraa!Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Sawa mkuu bora we hiyo tecno mi namiliki Nokia 1100Hahaaa vinataka iPhone7 wakat watu tunamiliki Teckno Y2
Tekno yenyewe mbovu natumia nokia asha 200 hata gemu la nyoka hakunaSawa mkuu bora we hiyo tecno mi namiliki Nokia 1100
Umeniwahi mkuu nilitaka nikuulize kwann huja muwish shemelaHongeren sana wanawake
Wote wa jf mrlax na kufrahia
Sku yenu
Nijiandae kwa surprise
Ya kwenda kumpa
Bebi mahonda[emoji320] [emoji124]