Nitakuazima ya kwangu hii maana INA gemu la nyoka liwe linakuliwaza unavyo toka kusaka shilingiTekno yenyewe mbovu natumia nokia asha 200 hata gemu la nyoka hakuna
Atakuwa hana bando huyuPaprika wapi umejificha
Nitafurahi lkn mkuu ulipata wap idea ya hilo jina lakoNitakuazima ya kwangu hii maana INA gemu la nyoka liwe linakuliwaza unavyo toka kusaka shilingi
I thought soAtakuwa hana bando huyu
Mkuu hili lina historia ndefu sanaNitafurahi lkn mkuu ulipata wap idea ya hilo jina lako
Mtumie kama kweli upendo wako sio wa kukodishaI thought so
Nitamtumia kesho akiwa online sasa hv hayupo online....Mtumie kama kweli upendo wako sio wa kukodisha
Hahahaha well said, siku zote ni za wanawake kama ilivyo kwa wana ume!Wanawake siku zote ni zao, hizi ni biashara na kujazana ujinga tu.
Moja kati ya majina mabaya na magumu jfMkuu hili lina historia ndefu sana
Sawa kama utatimiza kwa vitendoNitamtumia kesho akiwa online sasa hv hayupo online....
Hahaaaa
Unamaanisha la kwangu ndo la kwanza ?Moja kati ya majina mabaya na magumu jf
Ndio mkuu linafuata chikira mtabariUnamaanisha la kwangu ndo la kwanza ?
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] wewe muulize malafyale atakwambia maana yakeNdio mkuu linafuata chikira mtabari
Awwwwwwwww thank you my super kaka [emoji120]
Kuna mtu mwenye jina hilo hebu mquote tuone[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] wewe muulize malafyale atakwambia maana yake
A man without cash ni kama taka taka vile unaipishia mbaliCASH MADAME
Asante mwanangu,nakupenda pia.Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,