Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Ahsante mtoto wake twin. Ila nimemiss story zako za udaku lol
 
Hivi ni nini kinachofanya hii siku iwe ni siku special kwa wanawake?

Ni nini hasa chimbuko la hii siku?
 
Ahsanteni sana mama zetu, bila nyinyi labda tusingezaliwa! Hongereni na mtuvumilie! Wanenu!
 

ANGALIZO

90% ya uliowaorodhesha hapo ni Midume Mbegu mitupu Mkuu. Usidanganyike na Romantic ID's zao ukadhani ni Wanawake na tambua humu Watu wanachezeana sana akili na usipokuwa makini unaweza ukadhani fulani ni Demu kumbe ukawa unachati na Mjomba wako aliyeko huko Kimbiji au Babu yako aliyeko Ubena Zomoni. Acha kuamini ID 's za humu Mkuu.
 
Nimeipenda hiyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…