Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Kina Lamomy nae wakatili kweli ila mie huwa nampenda tuu hivo hivo unajua Tena ukishapenda kazi kweliVipi unataka upokelewe wewee?? πππ
hapa inabidi ujitaje tu sisy watu wana mambo mengi nahisi wanawakumbuka watu wanao onekana mara kwa kwa maranashangaaa mpaka sasa sijatajwa humu uenda nimepotea sana
niwatakie heri nafanaka wanawake wote mjengoni humu
Humu hakuna wageni wanabadili id, wanadanga kwenye id za zamani wakichuja wanarudi kivingine..!! πΉπΉπ€£nakuheshimu ila nimeweka a.k.a ili wageni wakiingia wasijichanganyeπ€£π€£π€£
nimechekaaa π€£π€£π€£ watu na maparody yaoHumu hakuna wageni wanabadili id, wanadanga kwenye id za zamani wakichuja wanarudi kivingine..!! πΉπΉπ€£
Na sisi wakali wa kuzoom tunawachora.
Nwei watakavyokuja ndivyo watakavyopokelewa..!!
Wewe utakuwa unampenda coca unashindwa kumwambia πΉπΉπΉ
Id mpya inajua chocho zote na member mpk waliojiunga kipindi cha jambo forum. Wee huogopi? πΉπΉπΉnimechekaaa π€£π€£π€£ watu na maparody yao
Acha basi mama lake Lamomy kumuita mwanaume mwenzetu Binti mbichi mrembo mwenye kishepu bomba Jf nzima, unamwitaje mwanaume hivoWewe utakuwa unampenda coca unashindwa kumwambia πΉπΉπΉ
Sasa unataka tumtenge ili iweje?
Coca ni binti mbichi, mrembo ana kishepu bomba JF nzima hakuna..!!
Wewe km umemuelewa lete faranga mi nikuweke upoe hapo kwa pisi kaleee..!!
Una uhakika gani km mwanaume?
Duuh Lamomy mama lake wataka kunijaza kwenye mfumo nikapakue samvu la mtoto Mchele mchele.Una uhakika gani km mwanaume?
Ushawahi kumuona?
Huyo ni demu na mkaree kinouma afu rangi ya mtume ile og sio ya mkorogo km dada zako wa kisukuma..!! πΉπΉπΉ
Nipo mwayami nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaaπ€,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic π€£ ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapoteaπ Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye memeπ€£π€£ na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila sikuπ€¦ββοΈππ
kuoka nishajua,, shida ipo kwenye kuipambaNipo mwaya
Karibu tuendelee kuoka keki
kuoka nishajua,, shida ipo kwenye kuipamba
nitakutafuta siku moja unipe darasa then nijaribu alf nikupe mrejesho wa pichaπ€πSasa kupamba ni rahisi sana
Nakupigiaaaa pokea simubinti kiziwi
Evelyn Salt
Kalpana
Doctor Mama Amon
Bushmamy
Hao ndio Wanawake ambao ninawasherehekeaga humu..
Nakupigaaaa pokea simu
Babeππ