Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Hongereni sana wanawake na wasichana wote ndani na nje ya JF.
Mnapo sherehekea siku hii yenu muhimu sana kote ulimwenguni, ni vema zaidi pia mkatafakari wajibu wenu muhimu zaidi wa kulinda maadili yenu na ya jamii nzima, lakini pia kuzingatia matumizi bora ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo yenu wenyewe na ya jamii nzima.

jiepusheni kutumika kuliunganisha taifa kwa fedheha za koneksheni hasa katika siku yenu hii muhimu sana.

Mungu awabariki wanawake wote. Aimen
 
Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama binti kiziwi , Dr. Mariposa , Lamomy , Seran na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.

Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi!
financial services
Joanah
Binti wa zamani
Seran
cocastic
Happy International women's Day wherever you are.
You're my JF heroines🥰
Asante sana 🤗🤗
Thanks Enzo akeee 🤗 🤗
Thanks love, nyuzi za kulombana kila siku ni uongo 😂 😂.
Ila napenda sana kuwachangamasha humu wasisahau kwamba na sisi wanawake tunastahili pleasure na si lazima tujifiche fiche kwenye raha zetu. HWD kwako win-one replies zako huwa zinanifurahisha sana!
Binti wa zamani

Seran

Bila kumsahau mdogo wangu cocastic

Happy women's day
Thanks mdogo wangu 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…