Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa

Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa

Lucky Dube: God bless the Woman
Shaggy; Strength of a Woman

Boyz to Men: Mama I love

Nyimbo hizo ziwaendeeee wadada na wamama wote popote pale walipo. Kwa nyanja zote

Tupac Amar Shakur - Dear MAMA
 
profesa penina mlama mwenyekiti wa BASATA kateuliwa na rais
Mkuu Leguna, asante kwa hii, nafasi za wenyeviti sio za kiutendaji!, ndio maana hata wenyeviti wa bodi mbalimbaloi humu sijawaweka!.

Pasco
 
Kwa nini ujikite kwa CEOs ?
Nawazungumzia wanawake wenye sifa waliokalia drivers seat kwenye public corporations, sio private entities, sio ngo's na sio chairmanships!, sio political posts, but executive positions kwa lengo la levelling down!.
Pasco
 
Huu mwaka wao, Tunawatiakia wanyakuwe kiti cha Urais JMT 2015 !! Wanawake huu mwaka wenu!!
count my vote!!:rockon:
 
Kwa nini ujikite kwa CEOs ?
Eti bwana! Pasco kang'ang'ania maCEO's kawaacha wale wamama (ambao ni wengi sana) wanaolea familia bila msaada wa mahousegirls. Wamama hawa ndio mashujaa wakubwa. Kama huyu:


View attachment 232890Huyu mwanamke kwangu ni shujaa namba moja.Hao maCEO sina habari nayo!
 
Last edited by a moderator:
Margaret ChaCha MD- Tanzania Women's Bank

After all its their bank

Juliet kairuki- CEO-TIC
 
Mama Getrude lwakatare huyu mkurugenzi wa kuanzia kanisa, taasisi mpaka dr dr endelea
 
Lakini Anne Makinda lazima tumtaje japo siyo CEO, lakini tumpe tu maana kajitahidi. Juu ya mapungufu lakini kuongoza kiti siyo kazi nyepesi
 
Kuna huyu mkurugenzi wa takwimu. Nimemsahau jina
 
Irene Mwakalinga wa Iringa kupitia TBC hongera mama kwa utangazaji mzuri
 
Back
Top Bottom