Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawazungumzia wanawake wenye sifa waliokalia drivers seat kwenye public corporations, sio private entities, sio ngo's na sio chairmanships!, sio political posts, but executive positions kwa lengo la levelling down!.
Pasco
Asante Joel, Eng. Munyagi alistaafu TCAA sasa yuko na board ya Eng. Reg. Board. Mama Mwambenja baada ya kuondoka Exim Bank, sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Coventry Bank.mkuu Pasco,hongera kwa uzi mzuri sana, mimi naomba kuuliza kuhusu Mhandisi Margaret Munyagi na mama Thebeta Mwambenja,wapo wapi siku hizi hawa wamama?
Sii kweli kuwa wote wako single!.chakushangaza wote hawa tuliowataja wako ''single'' kasoro mmoja anaeishi kimada.
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.
Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.
Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.
- Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
- Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
- Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
- Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
- Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
- Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
- Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
- Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
- ​Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
- .... endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.
Hongera sana kwa wanawake hawa!.
woman
● changes her name
● changes her home
● leaves her family
● moves in with you
● builds a home with you
● gets pregnant for you
● pregnancy changes her body
● she gets fat
● almost gives up in the labour room due to the unbearable pain of child birth
● even the kids she delivers bear your name
till the day she dies... Everything she does... Cooking, cleaning your house, taking care of your parents, bringing up your children, earning, advising you, ensuring you can be relaxed, maintaining all family relations, everything that benefit you..... Sometimes at the cost of her own health, hobbies and beauty.
So who is really doing whom a favour?
Dear men, appreciate the women in your lives always, because it is not easy to be a woman.
*being a woman is priceless*
happy women's week!
Pass this to every woman in your contact to make her feel proud of herself.
Rock the world ladies!
A salute to ladies!
Woman means :-
w ➖ wonderful mother
o ➖ outstanding friend
m ➖ marvellous daughter
a ➖ adorable sister
n ➖ nicest gift to men from god
miss chagga little angel everlenk na wengine. Mungu awabariki sana
Leo ni Siku ya Wanawake Dunia, tuangazie kidogo uteuzi wa wanawake kwenye the driver's seat za public corporations kwa Awamu hii ya 5.Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.
Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.
Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.
- Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
- Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
- Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
- Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
- Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
- Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
- Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
- Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
- Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
- Magret Chacha, Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, TWB.
endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.
Hongera sana kwa wanawake hawa!.
TFDA kulikua Na Dada flank 'sitta' aluyekua akikaimu, sasa yuko Candida Shirima (Mdada) Nimetoka Nje ya Mada kusudiwa anyway! Vipi bodi za wakurugenzi? Am too jumpy! Ngoja niskilizie!Leo ni Siku ya Wanawake Dunia, tuangazie kidogo uteuzi wa wanawake kwenye the driver's seat za public corporations kwa Awamu hii ya 5.
Rais Magufuli alipoingia madarakani, aliwakuta hao ma CEOs zaidi ya 10 ambao ni Wanawake na Waliteuliwa na Kikwete, leo miaka 3 baadae, kati ya 10 hawa, wamebakia wawili tuu!,
Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) na
Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
Jee mpaka sasa katika nafasi za Wakurungenzi Wakuu wa Mashirika ya Umma, wameteuliwa wanawake wangapi?.
Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, naona kama graph imeshuka, swali ni jee inawezekana JK aliwateua wanawake wengi zaidi as deserving kwa sifa na vingezo, lakini sasa wanawake hao wenye sifa na vingezo vya kuteuliwa kwenye executive positions wamepungua ndio maana hakuna wakuteuliwa, au tangu enzi za JK, Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vingezo, bali JK alifanya kuwabeba tuu kwa kuwateua wengi ili tuu kuibeba agenda ya usawa wa kijinsia, gender equality?.
Hivyo inawezekana kabisa hoja yangu hii inaukweli?.Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! - JamiiForums
Hongereni Wanawake Wote, Leo ni Siku yenu.
Paskali.
Mkuu una mchokonoa Mzee Mengi niliona clip moja Mzee ana kiri bila Jack pengine angekua amekufa kabisa muache ale vinono mkuuHivi jacquiline ntuyabaliwe sio among top ten? Manake kwa umri wake kuishi na mzee wetu mengi ni jambo la kujitolea.
Kwa sentence hii kweli sasa nimeamini wanawake hawapendani kutoka moyoni mwao wanaishi kinafiki sana!Hivi jacquiline ntuyabaliwe sio among top ten? Manake kwa umri wake kuishi na mzee wetu mengi ni jambo la kujitolea.
Hebu taja walikuwa wakurugenzi watendaji (CEO's) wa sehemu gani¿Celina Kombani
Mary Nagu
Halima Mdee
Anna Abdalah
Spora Liana
Anna Nswila
Dr Marina Njelekela
Dr Mwele Malecela
lady Jay dee