Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa

Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.

Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.

Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.

  1. Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
  2. Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
  3. Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
  4. Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
  5. Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
  6. Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
  7. Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
  8. Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
  9. Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
  10. Magret Chacha, Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, TWB.
    endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.

Hongera sana kwa wanawake hawa!.
Getruda Mongela
Anna Makinda
 
Leo ndio siku yao, JK aliteau ma CEO wengi wa public corporations,
JPM alipoingia, wanawake hawa walikuwa zaidi ya 10

    endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa
Baada ya JPM kuingia, wamepururaka sana na wengine bila hata sababu za kueleweka!. Kati ya hao 10, waliobaki sasa ni 2!. Kijazi na Chuwa.
Kwa mwendo huu, jee Tanzania tutafikia hiyo 50/50?.

Nawatakia wanawake wote, heri ya Siku ya Wanawake Duniani!.
P
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Kila nipatapo fursa, nitakuwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kusaidia nchi yetu, serikali yetu na viongozi wetu. Makala ya leo ni swali tuu, ni hoja na swali.

Hoka ni "Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa", tangu rais Samia ashike usukani, jana ndio uteuzi wake mkubwa wa kwanza wa viongozi wengi kwa mpigo. Kwa maoni yangu, kwenye uteuzi huu, nina swali, "Jee ni Kweli Tanzania Hatuna Wanawake wa Kutosha Wenye Sifa za Uongozi Kustahili Uteuzi?. Kwa maoni yangu uteuzi huu una walakin, ila Rais Samia hajafanya kosa lolote, bali tukubali, tukatae, kule nyuma, kuna makosa yalifanyika. Sasa ni jukumu letu sisi tuliibahatika kuyaona makosa hayo ya nyuma, ambayo Rais Samia ameyarithi, tumsaidiwe, rais Samia, kwa kuyataja makosa hayo, ili rais Samia asirudie makosa ya nyuma, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa, kwenye maa RC kuna kosa la gender balance, kwa vile wanakuja ma RAS, wanakuja ma DED, wanakuja ma DC, wanakuja ma DAS, tumsaidie Tanzanite Lady wetu, Mama Samia, huko mbele, tusirudie makosa!.

Kosa lenyewe ni jibu la swali hili, " hivi ni kweli kabisa, Tanzania hatuna wanawake wenye sifa, wa kutosha kufikia 50/50 ya gender balance kwenye nafasi za uteuzi?.

Kabla haujasoma hoja za bandiko hili, naomba nikupe homework ndogo ya kusoma bandiko langu hili

Kwa vile Mama Samia amejitanabaisha wazi yeye ni kama JPM, kwenye upande wa uteuzi wa JPM, we had gender problem!.

Uteuzi wa JPM, Kwa mfano idadi ya mawaziri wanawake ni 4 tu kati ya 19, hii ni asilimia 21%. wanaume ni asilimia 79%. Kwenye Baraza la Mawaziri la Samia, lina mawaziri 25, wanawake ni 6 ambao ni asilimia 24% wanaume 19 ambao ni asilimia 76%. Hivyo hapa gender imbalance imeendelezwa!.

Kwenye uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, kati ya wakuu wa mikoa 26 wa Magufuli, wanawake ni 4 tu ambao ni asilimia 15% wakati wanaume ni 21 ambao ni asilimia 85%!. Sasa rais Samia anapita mule mule, alikopita JPM kwenye uteuzi wa wakuu wa mikoa wa Samia ameteuwa ma RC wanawake 4 tu kati ya ma RC 25, hii ni asilimia 16% ndio wanawake na wakati wanaume ni 21 ambao wanafanya asilimia 84%!.

Kwenye wakuu wa wilaya, kati ya wakuu wa wilaya 134 wa Magufuli, wanawake ni 25 tu ambao ni asilimia 18%, wakati wanaume ni 109 ambao ni asilimia 82%. Na kwa upande wa Wakurugenzi, kati ya wakurugenzi wa halmashauri na wilaya 185 wa Magufuli, wanawake ni 33 tu!, ambao ni asilimia 17% tuu, wanaume asilimia 83%.

Kwa trend reading, kama ni kweli kabisa Samia ni kama Magufuli, then you know what to expect, kwenye uteuzi wa ma DC na Wakurugenzi. Hili ni kosa, lisiachwe liendelee!.

Hii maana yake, kati ya Watanzania milioni 60, ni kweli hakuna wanawake capable wa kutosha kuteuliwa kuwa ma RC, ndio wamepatikana hao 4 tuu!. Is this so?!.

Conclusion.
Kwa vile hatukumpangia JPM nini cha kufanya, hivyo nilisisitiza tangu mwanzo, tusimpangie Samia, lakini huku kutompangia Samia, hakumaanishi tunapoona mapungufu mahali, au mambo yanakwenda ndivyo sivyo, tunawajibu wa kumshauri ili kumsaidia. Katika safari ya kuelekea gender balance ya 50/50 katika uongozi, mimi siamini kuwa Tanzania hatuna wanawake wa kutosha hadi uteuzi wa wanawake uwe that low.

Kwa fikra zangu, Naamini uteuzi huu wa ma RC ni mama Samia, ameendelea kubeba some luggages na baggages za mtangulizi wake. Hilo ni kosa!. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa!. JPM alifanya kosa kwenye gender balance.

Gender balance kwenye baraza la mawaziri hatuwezi kulaumu, kwasababu ili mtu uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge, ikitokea hakuna wanawake wa kutosha kujaza nafasi za kufikia kiwango cha 50/50, hili litaeleweka, kwasababu Mama Samia, ameingia na kuwakuta wabunge tayari wapo, ikitokea wabunge wote hadi wa viti maalum, hawana sifa za uwaziri, hatuwezi kulaumu, kwasababu sio kosa lake. Huwezi tuu kujiteulia watu hawana sifa ili tuu kutimiza gender balance. Lakini kwenye ma RC, ma DC , ma RAS, ma DAS ns na DED, yaani Wakurugenzi, haiwezekani Tanzania ndani ya hii milioni 60, wakakosekana wanawake wenye sifa.

Naamini rais Samia, kaletewa majina na kuongeza wachache tuu, hivyo sasa tunamuomba, kwenye ma DC, ma RAS, ma DED na ma DAS, awatendee haki wanawake wa Tanzania.

Nisimalize bila kumpongeza Mama Samia kwanza kwa ku heal the nation kwa kutenda haki, na pili ni pongezi kwa kuyaishi maneno yake ya kuteua yoyote hata kutoka upinzani.

Tanzania ni yetu sote,
Mungu mbariki Mama Samia.
Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
 
Mkuu sidhani kama issue ya gender balance ndiyo inayotukwamisha kama Taifa katika sekta mbali mbali kimaendeleo. Mfumo mzima wa uendeshaji wa mihimili yote mitatu unahitaji upembuzi makini kwani nafasi nyingi hazina tija. Kwa kifupi nafasi nyingi za kiteuzi ndani ya hii mihimili ni kwa ajili ya siasa zaidi kuliko utendaji. Tukishafanikisha kubadili hili ndiyo tuje kujadili issue ya gender balance
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.

Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.

Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.

  1. Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
  2. Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
  3. Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
  4. Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
  5. Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
  6. Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
  7. Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
  8. Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
  9. Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
  10. Magret Chacha, Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, TWB.
    endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.
Hongera sana kwa wanawake hawa!.
Hizo ni bangi na "paradigm" ya kisukuma zimechanganyika.

Toka lini msukuma akakubali kwenye nafsi yake kuongozwa na mwanamke?

kwanza anaesikia sauti zinamsemesha huyu "schizophrenic". Una matatizo makubwa sana ya "psychiatric" .Muone daktari wa machizi mapema sana.
Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke! Fala sana yule jamaa.
Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Karibu mitaa hii, ushuhudie huyu Msukuma Pasco, asivyo kubali kuongozwa na Mwanamke!
P.
 
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi mbalimbali kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na mfumo dume, hivyo kushikwa na wanaume!.

Swali ni jee, nafasi hizo zimeshikwa na wanaume kwa sababu hatuna wanawake wenye sifa, au zimeenelea kushikwa na wanaume kwa sababu ya mfumo dume tuu, nikimaanisha wanawake wenye sifa wapo, lakini hawajateuliwa kushika nafasi hizo.

Sasa hapa naomba tuwataje the Top Ten "Boss Ladies" wa ukweli, ambao ni wanawake kwenye nafasi za Wakurugenzi Wakuu wa Tasisi za Umma ambao teuzi zao zimefanywa na Rais.

  1. Jacline Mnenei Maleko-Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
  2. Irene Isaka-Mkurugenzi Mkuu wa SSRA
  3. Dr Marina Njelekela-Mkurugenzi Mkuu, Muhimbili
  4. Dr. Mwele Malechela-Mkurugenzi Mkuu wa Nimri
  5. Dr Akwilina Kayumba - CEO wa OSHA.
  6. Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
  7. Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.
  8. Eng.Marcelin Magessa- CEO- TEMESA
  9. Juliet Kairuki-Mkurugenzi Mkuu-TIC
  10. Magret Chacha, Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, TWB.
    endelea kuwataja wanawake ambao ni wakurugenzi wakuu wa taasisi kubwa kubwa!.

Hongera sana kwa wanawake hawa!.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.

Kwenye top ten hawa wa 2015, aliyepo mpaka leo ni Dr. Albina Chuwa.
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.

View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b

RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 
Back
Top Bottom