Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa

Asante sana Elli kwa ujumbe wako murua hakika umenigusa.
 
Last edited by a moderator:
Nawazungumzia wanawake wenye sifa waliokalia drivers seat kwenye public corporations, sio private entities, sio ngo's na sio chairmanships!, sio political posts, but executive positions kwa lengo la levelling down!.
Pasco

mkuu Pasco,hongera kwa uzi mzuri sana, mimi naomba kuuliza kuhusu Mhandisi Margaret Munyagi na mama Thebeta Mwambenja,wapo wapi siku hizi hawa wamama?
 
chakushangaza wote hawa tuliowataja wako ''single'' kasoro mmoja anaeishi kimada.
 
mkuu Pasco,hongera kwa uzi mzuri sana, mimi naomba kuuliza kuhusu Mhandisi Margaret Munyagi na mama Thebeta Mwambenja,wapo wapi siku hizi hawa wamama?
Asante Joel, Eng. Munyagi alistaafu TCAA sasa yuko na board ya Eng. Reg. Board. Mama Mwambenja baada ya kuondoka Exim Bank, sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Coventry Bank.
Pasco
 
Kuna yule mama wa sadc, Stergomena Laurence Tax. Pengine jina lake lingefaa kuwa la mwanzo katika hiyo list yako mkuu Pasco
 
Last edited by a moderator:
Midume mizima et siku yakina mama je yababa wote wanaume mnao shuhulishwa na sk hii nawa fananisha Kama
 


Flora MbasHa -msaIdiZi wA mChUngAji na MCHePukO wA mTuMiShi WeTuuu.
 

wonderfuul!
 
Leo tunapoadhimisha siku ya wanawake duniani, wanawake watatu waliokuwa ma top wameenguliwa, hawa ni Jackline Mneney Maleko aliyekuwa top wa Tantrade, Dr. Marina Njelekela aliyekuwa top wa Muhimbili na Dr. Mwele Malechela aliyekuwa top wa Amref.

Wanawake poleni.

P.
 
Leo ni Siku ya Wanawake Dunia, tuangazie kidogo uteuzi wa wanawake kwenye the driver's seat za public corporations kwa Awamu hii ya 5.

Rais Magufuli alipoingia madarakani, aliwakuta hao ma CEOs zaidi ya 10 ambao ni Wanawake na Waliteuliwa na Kikwete, leo miaka 3 baadae, kati ya 10 hawa, wamebakia wawili tuu!,
Dr. Agnes Kijazi- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) na
Dr. Albina Chuwa-Mkurugenzi Mkuu-Takwimu.

Jee mpaka sasa katika nafasi za Wakurungenzi Wakuu wa Mashirika ya Umma, wameteuliwa wanawake wangapi?.

Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, naona kama graph imeshuka, swali ni jee inawezekana JK aliwateua wanawake wengi zaidi as deserving kwa sifa na vingezo, lakini sasa wanawake hao wenye sifa na vingezo vya kuteuliwa kwenye executive positions wamepungua ndio maana hakuna wakuteuliwa, au tangu enzi za JK, Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vingezo, bali JK alifanya kuwabeba tuu kwa kuwateua wengi ili tuu kuibeba agenda ya usawa wa kijinsia, gender equality?.

Hivyo inawezekana kabisa hoja yangu hii inaukweli?.Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! - JamiiForums

Hongereni Wanawake Wote, Leo ni Siku yenu.

Paskali.
 
TFDA kulikua Na Dada flank 'sitta' aluyekua akikaimu, sasa yuko Candida Shirima (Mdada) Nimetoka Nje ya Mada kusudiwa anyway! Vipi bodi za wakurugenzi? Am too jumpy! Ngoja niskilizie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…