Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.

On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makomo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini katakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.

On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.

Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020, ampishe ili awe huyu mama.

Mungu ambariki sana na kuwabariki wanawake wote siku ya Wanawake Duniani.

Paskali

Asante sana mkuu Pascal Mayalla

Andiko hili linaishi.
 
Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020, ampishe ili awe huyu mama.

Mungu ambariki sana na kuwabariki wanawake wote siku ya Wanawake Duniani.

Paskali

Mkuu wa Mbingu na Nchi kashatoa amri ya mama kupishwa.

Tumpe muda tuone kama yaliyomo yamo
 
Wanabodi,

Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.
Paskali
Ni uzi wa zamani sana ila niulize tu mbona uliandika au kumpumzisha JPM 2020...did you saw it coming SSH kumpuzisha JPM 2020, how why
Hapa ndio I predicted something kumhusu Samia

P
 
Yote uliyoandika hapo Hicho kipindi ni kweli tupu. YAni Pascal Mungu amekujalia jicho la kuona mbali. Binadamu sio mkamilifu, inawezekana Mara nyingine tukawa na mitazamo tofauti, lakini siku zote Pascal Mayala kwangu mie utabaki kua miongoni mwa waandishi nguli wachache waliopo Tanzania.
 
duh...
tatizo la kutoa pongeza/sifia panapositaili sijui ni la Tanzania tu au Afrika kwa ujumla?

Pascal Mayalla hongera yako mkuu, unacho kipawa cha kutamka mambo na yakawa👏👏👏👏👏🙌
 
Wanabodi,
Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020, ampishe ili awe huyu mama.

Mungu ambariki sana na kuwabariki wanawake wote siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
Na wote tuseme Amina
Lakini Paskali uwiiii ameshindikana kheee
Huu undumilakuwili ni dhahiri hana amani ndani ya moyo. Leo wa kusema Mama ni mzuri sijui bora kuliko aliyemtangulia?! Huu ni Unafiki Uchawi wa kupitiliza. Kwa nini hakukaa kimya kujiheshimu kuliko kujitengenezea maadui
Paskali punguza misifa isiyo ya lazima
Pasaka Njema
Angalia tarehe ya bandiko!.
P
 
Tunakujua wewe MSAKA TEUZI!
Kati ya freedoms zote, freedom to think chochote ndio the only absolute freedom. Uku huru kabisa to think vyovyote kumhusu mtu yoyote, hivyo kunifikiria kama msaka teuzi ni haki yako.

Kabla ya ujio wa JPM, mimi nilikuwa na ofisi pale Mtaa wa Mkwepu, ni jengo la NHC, kodi tuu pekee yake kwa mwezi ilikuwa ni zaidi ya mshahara wa DC. Maonyesho tuu ya Saba Saba pekee, just for 10 days, more than TZS hundred millions were rolling!, mtu kama huyu atafute UDC for what?.

Japo now things have changed, life has changed and age has gone, mimi ni 50+ long time, and it's true mambo yangu sasa sio kama zamani, amini usiamini, sitafuti uteuzi wowote!.
P
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hujacheka kama nilivyochekaa but Why why Paskali

Hahahh who wants to know kodi yako sijui sabasaba blabla

Paskali umeshindikana kheee
Unazungumzia pesa utajiri haya mambo ya vijana au niseme watoto wewe you are way toooooooo old kusema haya ahahahhhh pleaseee

Ok una pesa sawa 'what has it get to do na ulichoandika kumponda Magu
Hii dunia ishi kwa kuhesabu kila siku kheeee nimechoka
 
IMG_20210402_170444.jpg

Ndugu yangu Pascal Mayalla huyu ni wewe kweli au umekaririwa vibaya?
 
Back
Top Bottom