Siku ya Wanawake Duniani: Who Are The Top Ten Richest Women In Tanzania?!

Lulu na Jdee hawana utajiri wa billionea ni pesa za kulia bata tu.Mzee kuna matajiri hawajulikani.Tembea uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Huyo wa pili ana miliki nini?
 
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali

Leo ni siku ya Wanawake Duniani, Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maadhimisho ya siku yao hii ya wanawake duniani wakiwemo wanawake hawa na Mwanamke huyu!.
Happy Women's Day all the beautiful ladies and the lovely ladies out there, na kwenye wanawake na siasa, nina Salaam zao Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?.
Paskali
 
Mme Mmemsahau mama Salma Kikwete. Huyu ndiye billionaire wao.
 
Update 2024
No. 1 na No. 3 wametangulia mbele ya haki.
No. 2 hasikiki tena, utajiri umeshikiliwa na kaka Mtu, Mo Dewji.
No. 5, hasikiki kabisa!.
Sasa Position No. 1 inashikiliwa na Angelina Ngalula a self made bilionea mwenye Agrocom na Bravo Logistics.
P
 
Pasca muweke Angelina ngalula wa Bravo logistic na agricom

Anamiliki companies with more than 100 bilions revenues makisio tu
Thanks for ingizo hili
Update 2024
No. 1 na No. 3 wametangulia mbele ya haki.
No. 2 hasikiki tena, utajiri umeshikiliwa na kaka Mtu, Mo Dewji.
No. 5, hasikiki kabisa!.
Sasa Position No. 1 inashikiliwa na Angelina Ngalula a self made bilionea mwenye Agrocom na Bravo Logistics.
P
 
Pasca muweke Angelina ngalula wa Bravo logistic na agricom

Anamiliki companies with more than 100 bilions revenues makisio tu
Kumbe Makisio tu , huyu Angelina mwenye undugu na CDF mstaafu ameanza kuwika pindi Ndugu yake akiwa pale juu

Kiufupi amepigana Hadi kufika hapo , japo succession plan Hana sababu mtoto wake aliyezaa na Mzungu (Muitalia ) Bado mdogo na pia style yake ya management sio nzuri

NB: Ni jirani yangu Masaki
 
Mkuu baro , kumbe huyu ni jirani yako !, unawajibu wa kuheshimu her right to privacy haya mambo ya kusema amezaa na nani, ni kuingilia her right to privacy yake.

Pili sii kweli ameanza kuwika baada ya CDF Msukuma kuwa pale.
Angalia hii video ni ya lini
View: https://youtu.be/eqsOtfCsiJI?feature=shared
P
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.


View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…