farazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 366
- 458
Lulu na Jdee hawana utajiri wa billionea ni pesa za kulia bata tu.Mzee kuna matajiri hawajulikani.Tembea uoneAnna Tibaijuka, bilionea na mmiliki wa shule za Babro Johnsson, shule za wasichana zenye ubora wa kimataifa, utajiri wake sijui kwa kweli kaupataje.
Lady Jay Dee, mwanamziki na mmiliki wa mgahawa maarufu wa MOG na bendi ya muziki, utajiri wake unatokana na shughuli zake za muziki, anatembelea gari aina ya range rover spot lenye thamani kubwa.
Wema Sepetu, mwigizaji maarufu na mtu anaengoza kuandikwa na magazeti ya shigongo, anajipatia utajiri kutokana na mauzo ya filamu na shughuli binafsi.
Lulu, nayeye yumo, ila sijui utajiri wake kaupataje.
Sent using Jamii Forums mobile app