dungune
Member
- Nov 10, 2021
- 70
- 157
Tarehe 14 February almaarufu siku ya wapendanao.
Nataka kujua siku hii inalenga wapenzi tu wa jinsia moja au ni mapenzi kwa jamii yote ?mana dada zetu wanataka kuitumia kujinufaisha.
Katika mwezi unao nipa changamoto ni mwezi wenye hii sikuku huwa mpka mahusiano yangu yanaingia dosari kubwa. Tunaweza kwenda vizuri tokea mwezi March mpaka November.
Ila December na February ni tabu tupu siku ya pili sasa mpenz wangu ananitumia picha zinazo onesha package za zawadi mbali mbali na mimi nimeamua kuwa mkaidi.
Japo kuwa najua itanibidi kugharamika kuomba msamaha baada ya tareh 14 ila sio tabu kwangu ni bora hivyo...
Weka changamoto unazopitia kweny mahusiano yako kwenye hizi tarehe tuambie pia unazishinda vipi...?