Siku ya wapendanao valentine's day itanitoa roho..😬

dungune

Member
Joined
Nov 10, 2021
Posts
70
Reaction score
157
Tarehe 14 February almaarufu siku ya wapendanao.

Nataka kujua siku hii inalenga wapenzi tu wa jinsia moja au ni mapenzi kwa jamii yote ?mana dada zetu wanataka kuitumia kujinufaisha.

Katika mwezi unao nipa changamoto ni mwezi wenye hii sikuku huwa mpka mahusiano yangu yanaingia dosari kubwa. Tunaweza kwenda vizuri tokea mwezi March mpaka November.

Ila December na February ni tabu tupu siku ya pili sasa mpenz wangu ananitumia picha zinazo onesha package za zawadi mbali mbali na mimi nimeamua kuwa mkaidi.

Japo kuwa najua itanibidi kugharamika kuomba msamaha baada ya tareh 14 ila sio tabu kwangu ni bora hivyo...

Weka changamoto unazopitia kweny mahusiano yako kwenye hizi tarehe tuambie pia unazishinda vipi...?
 
Tarehe 14 February almaarufu siku ya wapendanao.
Nataka kujua siku hii inalenga wapenzi tu wa jinsia moja au ni mapenzi kwa jamii yote ?mana dada zetu wanataka kuitumia kujinufaisha.
Katika mwezi unao nipa changamoto ni mwezi wenye hii sikuku huwa mpka mahusiano yangu yanaingia dosari kubwa. Tunaweza kwenda vizuri tokea mwezi March mpaka November. Ila December na February ni tabu tupu siku ya pili sasa mpenz wangu ananitumia picha zinazo onesha package za zawadi mbali mbali na mimi nimeamua kuwa mkaidi.

..
IMG-20220212-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikuue kabisa, digidigi wewe
 
Siku nyingine kabla ya kuanza mahusiano usisha tarehe 14 na tukio baya, iwe msiba, ajari. Chochote kile ili ujiweke kua hupendi kusherekea siku iyo
 
Acha kujipa strees kwa mambo ya kipumbavu.

Ila Kama wewe ni wavalentaini dei fanya hvi:-
Wewe tarehe 13 muulize ana ratiba gan kesho, kama akijibu yupo free sikilizia had asubuhi mchukue ingia sokoni hemea mazaga yakutosha mwende kwa mother ako (kama upo nae mkoa mmoja) mshinde huko hadi jioni, then rudi nae home hapo umemuandalia kizawadi cha 10k tu na mengne mtajua wenyewe mkifiki chumban.

Utakuja nishukuru baadae.
 
Mwambie tar 14 unaenda nae shamba kulima na tayar umenunua majembe kwa kazi hiyo.

Nakuhakikishia lazima tarehe zipotee kichwani kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😁sawa mkuu
 
duuh..!
 
Back
Top Bottom