Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Bora ingekuwa mkoani ila Dar ngumu sana na jioni nawaza itakuwaje kila mtu anataka kuwahiFanya mazoezi tu utazoea. Na woga utatoka
Sawa mkuu i got youkeep using it, u'll get used to it.
tunza gari la watu aisee, labda kama uko vizuri kifedha lolote likitokea utawajibikaHello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa barabarani wakat jf member wananitegemea hapa.
Naona wakati wa kurudi nitaita mshikaji anisaidie nirudishe gari la watu, nimepewa mwenyewe kaenda UK kwa muda wa miezi mitatu nisije gongesha Vanguard ya watu nikakosa cha kulipa au wazee mnasemamaje?
Wewe ilikuwaje siku yako ya kwaza kutembea njia kuu hizi za Dar?
Enzi hizi za hangaya ungepigwa chumaSiku ya kwanza niliblock msafara wa Mzee Mwinyi barabara ya Sayansi - Makumbusho [emoji1787][emoji1787]. Ving'ora vilinichanganya, na niliyekuwa naye akanichanganya ikabidi nisimame katikati ya barabara, wao ndo wakanikwepa
Nilikamatwa na trafiki kwa kosa la kuzuia msafara wa kiongozi, ila nikampa ya kubrashia viatu.
Sina pesa nipo fokolooootunza gari la watu aisee, labda kama uko vizuri kifedha lolote likitokea utawajibika
Dah mtianiNinachokumbuka niliingia kwenye gari nikakaaa vizuri
Baada ya hapo,nakumbuka nilishtuka nipo hospital nmelazwa
Nasikia lile gari lilipelekwa Garage,sina kumbukumbu nzuri ya nini kilitokea.
Ahahah ase mimi nimeita mtu arudishe nyuma gari ππmiaka hyo, ile kuirudisha nyuma nikajikuta nimeparamia genge la watu la mboga mboga. Ilikua alteza.
Walikuonea hurumaoSiku ya kwanza niliblock msafara wa Mzee Mwinyi barabara ya Sayansi - Makumbusho π€£π€£. Ving'ora vilinichanganya, na niliyekuwa naye akanichanganya ikabidi nisimame katikati ya barabara, wao ndo wakanikwepa
Nilikamatwa na trafiki kwa kosa la kuzuia msafara wa kiongozi, ila nikampa ya kubrashia viatu.
Duh boda wanasumbua barabaraniNilijifunza kuendesha huko Buza Uswekeni...nilitoka jasho mwili mzima.
Fanya jifunzeeSijui itakuaje sababu sijawahi kuendesha...π€·ββοΈ
Ilikuwa mwaka 1998Hello Africa,